$BNB
📊 $BNB: Inajipanga Kabla ya Kupanda Tena?
*Kuingia Septemba, $BNB inaonyesha nguvu na inajipanga kwenye bei ya $690 - $692. Bado iko top 4 na imara.💪
*Mambo Muhimu:
1.Support & Resistance: Kikwazo kiko $718. Ikiivunja na kufunga juu ya $720 tunaweza kuona bei juu zaidi. Sehemu ya kulindwa iko $680
2.Token Burn: Kila robo mwaka BNB inachomwa. Hii inapunguza supply na ni nzuri kwa muda mrefu
3.Ekosistemu: BNB Chain inakua kwenye RWA na AI. Ina matumizi halisi, sio kubahatisha tu
*Hitimisho:
$BNB iko kwenye "accumulation" yenye afya. Tukivunja $720 kwa nguvu, tunaweza kuelekea juu zaidi mwezi huu.
*Swali Kwako:
Mwezi huu unafanya nini na $BNB?
A.Unanunua kwenye $680-$690
B.Unasubiri ivunje $720 ndio uingie
Tuambie hapo chini 👇
#BNB_Market_Update #CryptoAnalysis #BinanceSquareFamily #bnb