$USDC binance imenifanya niiishi kwa nidhamu kijijini sana kutokana na ujuzi niliopata japo sijui kingereza ila binance tunaomba ya lugha swahili katika app✍️#BinanceSquareTalks $TRX #TradingCommunity