Binance Square
#wabongompowapi

wabongompowapi

6 次瀏覽
2 討論中
Harlan Lipira dZDA
·
--
查看翻譯
$SUI {spot}(SUIUSDT) Ninaimani sana na hii coin, kwa wale wenye uwezo wa ku-hold kwa muda mrefu, mfano, kununua mwishoni mwa mwaka huu au mwanzoni mwa mwaka kesho, na kuuza 2028. Inaweza kuwa njia bora kwa sisi wengine tusioweza kuchambua soko, ili tu-trade kwenye spot na future. Kubwa zaidi, mambo ya pesa yanahitaji umakini sana. DYOR #TupeaneMaarifa #WabongoMpoWapi
$SUI
Ninaimani sana na hii coin, kwa wale wenye uwezo wa ku-hold kwa muda mrefu, mfano, kununua mwishoni mwa mwaka huu au mwanzoni mwa mwaka kesho, na kuuza 2028.
Inaweza kuwa njia bora kwa sisi wengine tusioweza kuchambua soko, ili tu-trade kwenye spot na future.
Kubwa zaidi, mambo ya pesa yanahitaji umakini sana. DYOR
#TupeaneMaarifa #WabongoMpoWapi
登入以探索更多內容
加入幣安廣場中的全球加密貨幣用戶
⚡️ 獲取加密貨幣的最新和實用資訊。
💬 受到全球最大加密貨幣交易所的信任。
👍 發掘來自經過驗證創作者的真實見解。
電子郵件 / 電話號碼