Jinsi ya Kujilinda Dhidi ya Hasara Kwenye Binance
Biashara ya crypto ina faida, lakini pia ina hatari kubwa kama huna tahadhari.
Njia rahisi za kujilinda: ✔ Usitumie pesa ya kukopa
✔ Tumia usalama wa akaunti (2FA)
✔ Usikimbilie faida ya haraka
✔ Jifunze kabla ya kuwekeza
Mtu anayevumilia na kujifunza taratibu ndiye anayebaki salama kwenye crypto.