$SUI
Ninaimani sana na hii coin, kwa wale wenye uwezo wa ku-hold kwa muda mrefu, mfano, kununua mwishoni mwa mwaka huu au mwanzoni mwa mwaka kesho, na kuuza 2028.
Inaweza kuwa njia bora kwa sisi wengine tusioweza kuchambua soko, ili tu-trade kwenye spot na future.
Kubwa zaidi, mambo ya pesa yanahitaji umakini sana. DYOR
#TupeaneMaarifa #WabongoMpoWapi