$BTCUSDT | Current: $76,967 | 24h: -1.30%

*
BIAS: BULLISH lakini TAHADHARI
Bei iko juu ya MA25 $71,871 na MA99 $66,183. Trend kubwa bado ni up.
Lakini tumepigwa rejection chini ya kilele cha $82,850 na chini ya MA7 $78,142.

*SETUP 1: LONG / BUY THE DIP
Condition: Tushuke kuthibitisha support
Entry Zone: $73,000 - $73,800 [Support ya zamani + karibu na MA25]
SL: $71,400 [Chini ya MA25. Kama imevunjika bias inabadilika]
TP1: $78,591 [Resistance ya karibu]
TP2: $82,850 [ATH ya hivi karibuni]
TP3: $84,102 [Extension]
R:R ~ 1:2.8

*SETUP 2: SHORT / SCALP
Condition: Kama tukikataa $78,591 tena
Entry Zone: $78,300 - $78,600 [Karibu na 24h High + MA7]
SL: $79,100 [Juu ya 24h High $78,424]
TP1: $76,420 [24h Low]
TP2: $75,000
TP3: $73,800
R:R ~ 1:2.1

*MUHIMU SANA:
1. Volume imepanda . Hii ni nzuri kwa bulls.
2. $73,080 - $71,871 ni "Golden Zone". Kama inashuka hapo na inasimama = nafasi nzuri ya kununua.
3. Kama $71,400 inavunjika kwa candle ya 1D = bias inakuwa bearish. Toka kwenye long zote.

*Risk Management: Usijisahau Weka SL. Risk 1-2% tu.

Hii si ushauri wa kifedha. Ni uchambuzi wangu .
Wewe unangoja setup gani? nijibu nijue tuko pamoja👇👇
#CryptoTZ #BTC #TechnicalAnalysis