$XRP
$XRP imepata nguvu tena 💪

Imevunja resistance ya $0.58 na sasa inakaa $0.62
Volume imeongezeka 35% ndani ya masaa 24.

Kama ikishika $0.60 ni ishara nzuri sana.
Target inayofuata: $0.68 -> $0.75

Unadhani kesi ya SEC imeisha athari yake? 🤔


#XRP #Ripple #Crypto