$BTC

BTC imebounce kutoka 61K 🔥
Chart inasema kitu kimoja: Buyers wamerudi.

Kama ikivunja 65K, next stop ni 70K.
Kama ikishuka, support kubwa ni 58K.

Wewe unaona itafika wapi kwanza? 👇

#Crypto #Bitcoin #Trading