NILIPOTEZA HELA SPOT TRADING HIVI 👇
NA WEWE USIJIFUNZE KWA NJIA NGUMU KAMA MIMI
Niliingia crypto nikidhani ni "bonanza". Wiki 1 tu account ikawa nyekundu 🔴
Haya hapa makosa 3 yaliyonimaliza:
1. **FOMO**
Nilisikia VTOH coin itapanda" nikakimbia kununua juu bila kujua chochote. Ikaanguka next day.
2. **Kutoa Stop Loss**
Nilidhani "itarudi juu". Ikarudi chini zaidi. Nikipata hasara 20% badala ya 5%.😠😠😠
3. **Sikufanya Research**
Nilikuwa nanunua coin kwa sababu jina lake ni zuri tu
SOMO: Crypto si kamari. Ni maarifa.
LEO NIKO RASMI KAMA BINANCE SQUARE CREATOR ✅
KYC Verified.
Kazi yangu sasa ni kukufundisha ili wewe usipitie nilichopitia.
Kama unataka nipost "Hatua 5 za Kuanza Crypto Salama" comment "FUNZA" hapa chini 👇
Tujifunze pamoja tupate faida pamoja 💰
#BinanceSquare #CryptoTZ #MafunzoYaCrypto #BinanceAfrica
#VerifiedCreator