michangam tuanieleza njia ya kuanza, najua natamani pesa zinapo sema kwa namna yoyote inabidi tusiogope pale tunapo dondoka maana kudondoka ni ishara ya kuonyesha ulikua kwenye mwendo.
tusiache kumove on kwa kuwa na hofu ukijikwaa ukadondoka basi watakucheka, wale walio simama kwa kuhofia kudondoka huwa wanapitwa na Mengi sana