Makosa 3 Yanayowapotezea Watu Pesa Binance
Watu wengi huingia Binance wakiwa na pupa ya kupata faida haraka, ndipo matatizo yanaanzia hapo.
Makosa makubwa ni haya: 1️⃣ Kuingia sokoni bila elimu ya kutosha
2️⃣ Kuweka pesa yote kwenye coin moja
3️⃣ Kufuata maneno ya watu bila kufanya utafiti
Ushauri:
Anza na pesa ndogo, jifunze taratibu, na epuka pupa. Crypto inalipa kwa subira.